DVR yenye screen hapo hapo pamoja na camera zake 4 pia na router zinauzwa,zimetumika muda mfupi sana.
Hii inawafaa kwa wale wanaotaka kufunga security camera nyumbani,dukani n.k.
DVR hii inasupport kuweza kuona kinachoendelea sehemu uliyofunga camera zako kwa kupitia simu yako ya mkononi kwa kuunganisha na hiyo router na modem.
Ni PM kama utahitaji.
0685171861.
Bei ni 300,000/= tu.
View attachment 765980View attachment 765981View attachment 765982