Dvb-t2 standard

Adolph

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2010
Posts
895
Reaction score
346
Salaam wakuu..tukiwa tumehama kutoka analogia kwenda kwenye digital kumekua na uwepo wa vingamuzi aina mbali mbali..nimeona habari kwamba uganda wamepiga marufuku uuzwaji wa vingamuzi ya startimes vyenye technologia ya DVB-T1..ningependa kujua nini tofauti kati ya DVB-T1 na DVB-T2 na je hapa tanzania hivi ving'amuzi vya starimes ni aina gani?
 
Start times ni DVB T, ndo website yao inavyosema. T2 ni generation ya Pili ya standard ya DVB T ina capacity kubwa zaidi, hii inasaidia kwenye kurusha channel za HD. Tanzania tunatumia DVB T kwa sasa ila SADC tumekubaliana kutumia T2 by December mwaka huu, so kama kingamuzi chako ni T1 hakitaweza kushika T2 so mtabidi mnunue upya au labda kuna plan ya kuviupgrade somehow, ni vizuri kuuliza unaponunua. Vingamuzi vya T2 vinashika T1 pia, vya T1 havitashika T2.
 
Kwa kuongezea ni kwamba TCRA walijua fika kwamba T1 haina maisha marefu ila kwa kuwa kulikuwa na stock kubwa ya T1 kwa makusudi mazima waliamua kupromote Startimes ili stock imalizike.Na kweli baada ya stock kumalizika,juzi nilimsikia Mungi ikisema hata Startimes wameanza kufunga mitambo mipya inayosupport T2.So kwa mwenye ufahamu ameishaelewa kwamba Mission Accomplished.

Ni kweli ikiwa itawezekana ku-upgrade t1 kwenda t2,it's fine.Ila kama uwezekano huo haupo,kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba mtu kali..... mtu kaliwa kweli!
 

labda vikusanywe na kurudishwa kiwandan4 for rifubishing lah haiwezekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…