Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,208
- 27,018
Google utaijua mkuuGreen card ndio nini?
Mkuu unataka kuwakimbia watu wasiojulikana?Wakuu salamu,
Nimeona tangazo mahali kwamba application zinafunguliwa October 3 kwa wanaotaka kupata green card .
Sasa nahitaji msaada ni wapi hapo bongo I mean dar naweza kupiga picha mahususi kabisa ya kuombea hiyo card.
Natanguliza shukrani zangu wanabodi.
Nenda pale Haidery Plaza kuna studio wanapiga picha kwa bei mzuri na zinakidhi vigezo vya Visa pamoja na Green Card.
Anyway, zipo studio nyingine lakini ya pale Haidery Plaza naona very affordable wakati pia inakidhi viwango!
Nonsene.BONGE LA PROMO!
eti ile ya haidery wanapiga kwa bei nzuri mh..!!
Nonsene.