duuuu!kwel hii noma

duuuu!kwel hii noma

Mkal kwanza

Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
17
Reaction score
0
Kuna jamaa mmoja alkuwa akhishi maisha magumu baada ya kuhangaika kutafuta maisha kwa mda mrefu bila mafanikio ndipo jamaa huyu alipopata wazo la kujiua ili mradi aepukana na maisha magumu alyokuwa akiishi.baada ya kupata wazo hlo ndipo jamaa alipoamua kupanda juu ya gorofa kwa nia ya kujiua mara baada ya kumaliza sala zake za mwisho jamaa akiwa ktka harakati zake za kutaka kujitupa chn ya gorofa ndipo alipomwona mtu mmoja hv hana mkono lakn anarukaruka kwa shangwe ya ajabu ndpo jamaa alpo hairisha zoez la kutaka kujiua na kuamua kwenda kupata ushaur kutoka kwa mtu huyo.mara tu baada ya kumfikia m2 huyo yule jamaa akaanza mazungumzo na yule mtu.lakn wakat mazungumzo yanaendelea yule mtu bado alkuwa anaruka ruka.jamaa akamwambia ndugu yangu nashukuru sana kwan kosa ww ningekuwa nimekufa sasa hv!kwan mwenzangu hauna mikono na unafurahia maisha...yule mtu akamwambia si kwamba nafurahia maisha ndugu yangu hapa nlpo ****** unawasha ile mbaya kujikuna nashindwa...!!!
 
Back
Top Bottom