Juzi nilisikia mahali wadada wakiambiana kuwa siku hizi ni mwendo wa chukuchuku (bila chupi) eti unakuwa huru zaidi hasa hapa mjini kwenye joto kali...madirisha mengi tu yanafunguliwa kuruhusu hewa kupita...
Ina maana hakuwa hata na chupi, skin tight au kavaa thug???
kama hakuwa nazo where was she going...?????😕
or wamama wengi who drive wanaacha madirisha wazi?????