duuu hii kali...

emma115

Senior Member
Joined
Apr 28, 2012
Posts
135
Reaction score
167
Kuna majambazi walifanikiwakuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri taarifa yahabari Itangaze tumeiba Sh Ngapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…