Duuh!

Aki nitakumeza mzima nikiona unamfanyia mwanangu hivi. Ukikosea kumdaka utaniambia nini hivi?
 
Nikigundua mtoto kama ni muoga wa kitu fulani huwa nafanya kile anachoogopa ili awe mkakamavu ukubwani.
 
Michezo mingine inaweza kupelea talaka. Mtoto anaweza kukunja mikono huko juu utamdakaje?

Ndio maana watu wengine wanatabia za ajabu ajabu kumbe walipitia haya mafunzo yasiyo rasmi, wengine wanatamani kua viranja wa malaika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…