DUUH

Bashite

sent from kuzimu
 
Hiyo nshaiona kwenye alama za freemason.......
 
Hiii kitu hutokea sana.

Nyoka ni kiumbe ambaye hawezi ku balance joto lake, anategemea sana joto la mazingira.
Endapo mazingira joto likawa kubwa basi nyoka hudata na kuanza kuendana kinyume na kawaida huanza kimbiza na kula mkia wake.

Hata wewe waeza jaribu, tafuta nyoka harafu kwenye mazingira yenye joto kali kidogo huone anavyoaanza kudata na kujitafuna mkiaa.


NYONGEZA.

Wale wanaoabudu miungu mingine hutumia ishara hiii ya nyoka / dragon kujila mkia kuchora katika maeneo yao kama ishara ya kuonyesha kuwa elimu n.k kuwa hayana mwisho.

Mfano

Carpe diem.....[emoji187]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…