Duuh! Rais Samia leo kageuka msemaji wa tume huru

Duc in altum

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,076
Reaction score
4,645
Hii nchi haishiwi vituko, mgombea baada ya ushindi kageuka msemaji wa walio mtangaza
 
Huyu hawezi kutoa tume huru wala Katiba kwa mambo ambayo amefanya akiwa madarakani anaweza kutupwa jela akitoka madarakani Nguvu ya Umma na GenZ tu push ndo tunaweza kupata katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…