P Pure nomaa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 1,158 Reaction score 1,388 Dec 16, 2011 #1 Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa uokote fuko la pesa ili usisome?
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa uokote fuko la pesa ili usisome?