Duu! nshomile kwa sifa hakunaga

Duu! nshomile kwa sifa hakunaga

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,328
[h=5]"Wahaya bwana...... Kujisifiaa imepitiliza.... Leo nimesikia hii kwenye matangazo ya vifo.....!NDUGU DUES RWEYEMAMU WA MASAKI ANASIKITA KUTANGAZA KIFO CHA MWANAE JOSE RWEYEMAMU WA OYSTERBAY KILICHOTOKEA JANA AUSTRALIA BAADA YA KUPALIWA NA BURGER AKIWA ANAENDESHA HUMMER YAKE MPYA..., MSIBA UTAFANYIKA KWA AUNT YAO MAREKANI.....TAARIFA ZIWAFIKIE NDUGU WOTE PETER RONALDO RWEYEMAMU WA PORTUGAL, CYREEN KARDASHIAN RWEYEMAMU WA U.S.A......INNOCENT TORRES RWEYEMAMU WA SPAIN..., AZEEZ WALCOT REWYEMAMU WA ENGLAND NA HOUSE GIRL MARIE ALIYEKUA DUBAI SHOPPING"[/h]
 
hahahahhahahaha...... iwe, waguma?

  • :majani7:
 
Hii nilichelewa kuisoma coz nilienda Paris kukata kucha zangu.
 
Kuna siku tulikaa pale Vatican na Wahaya fulani mmoja akaanza utambulisho

  1. Huyu ni .......................ndiye aliyepaki Hammer hapo nje
  2. Huyu ni ......ndiye Mkurugenzi wa Fast Jet
  3. Huyu ni.....................................................ndiye anayemwandikia hotuba Kikwete
  4. Huyu ni ..............ana watoto 4 wote wanasomea Havard
  5. ...............................................................
 
Hapana kwani ni juzi juzi tuu nilienda naye New York kwa ajili ya kusherehekea X-mass na rafiki zake Maria na Sasha Obama.

kuna harusi tulienda nilikuwa na mama ilikuwa tanzania,sasa MC ni ndugu yetu tena ni mhaya,akaanza utambulisho,money stunna na mama yake walifika jana usiku na ndege kutokea marekani,mimi ndiye nilienda kuwapokea na land cruiser VX yangu,niliyoinunua mwezi uliopita bado mpya na imepak apo nje,nilicheka ila nikashangaa waliouzulia wala awakushtuka na karibu wote walikuwa wahaya,kumbe waliona ni kawaida tu
 
tehe tehe tihi tihi toho toho, hii ya adi msiba ndo imekaa mwake
 
kuna harusi tulienda nilikuwa na mama ilikuwa tanzania,sasa MC ni ndugu yetu tena ni mhaya,akaanza utambulisho,money stunna na mama yake walifika jana usiku na ndege kutokea marekani,mimi ndiye nilienda kuwapokea na land cruiser VX yangu,niliyoinunua mwezi uliopita bado mpya na imepak apo nje,nilicheka ila nikashangaa waliouzulia wala awakushtuka na karibu wote walikuwa wahaya,kumbe waliona ni kawaida tu

Bofya hapo Mbele.... HB Afro Dance Group - Nshomile (TV Version) - YouTube
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom