Acha uchokozi takusemea kwa miss...
Khe....!!! Kumbe wamjua eeh...!!!! Naamini keshatia timu
Huyo mwenye kanzu mbona kama ni utafiti au amefanana nae?
Acha uchokozi takusemea kwa miss...
Ha ha huyo aliyeko ndani ya gar atakuwa mshana jr tu
Umeanza miss chagga ulifichwa wapi lakini rafiki? Tugawane basi kilichobaki
hahaha Honey Faith hapo ilikua siku ya eid aisee