Duu mzungu katoa kali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Duu mzungu katoa kali

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DavidHard, Nov 12, 2011.

 1. DavidHard

  DavidHard JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Da mitaa flani bana mtoto alikuwa juu ya mti a mapera akitungua mara ghafla mama wa kiazungu akapita pale chini yake akainua kichwa akagundua kale katoto akajavaa chupi.mara akakaambia hey toto njoo shuka chukua hii elfu kumi kanunue chupi.da katoto kakashika hiyo hela kakakimbia kwa mama yake kakampa stor.du maza si akapagawa naye akamuwah yule mzungu kwa mbele akakwea mwembe mara mzungu akapita maza akmuita wewe zungu njoo chukue embe.alaf yule maza si akajiachi ili aonekane mara mzungu akamwita helo ma shuka chini pate zawad yako.maza akajua kangoa zali kama sio elf kumi ni elf ishirin.kufika tu mzungu akafungua walet yake akatoa sh .hamsin haya mama kanunue topaz ukanyoe manywele yako shenz hapana kaa chaf chaf hapa.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaaaa bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
   
 3. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Aisee.!
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Copy & paste
   
 5. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  hahahahaha babk. Nalog off
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  o mama!
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ...nyembe za topaz bado zipo ivi?
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Zitakuwepo kijijini. Si unajua mjini miembe ya kupanda hamna,ipo ya kisasa unavuna ikiwa na mwaka tu na mifupi kama kawawa!
   
 9. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  itakuwa walijumua nyingi.
   
 10. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  napita tu,
   
 11. ikizu

  ikizu JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimeikuikubali hiyo ni kali
   
Loading...