Duterte akaribishwa US na Trump; Asema Kim anataka Kuimaliza Dunia, aonya Trump asimchezee Kim

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,735
5904c740c461880c7a8b45c3.jpg
Huyu ndiye Rais na mtu mtata zaidi duniani kwa sasa. Duterte Rais wa Ufilipino.
Aionya marekani Kuwa watulivu na wavumilivu, Kim anataka kuleta Mwisho wa dunia.
Wakati huohuo Trump amemuialika Washington DC mtata huyo ambaye aliwahi kutolea maneno yasiyo na Staha Obama mbele ya hadhara.

Wakati huohuo Trump amemualika Duterte Washington DC...
source
Duterte says N. Korean leader Kim ‘wants to end world,’ warns Trump ‘not to play into his hands’
 
Msimu huu dunia inapaka marais wa ajabu sana,huyu alikiri kubakwa na padre kipindi yuko mdogo.
Na ameshaua drug dealer kwa mkono wake,
na aliahidi kuwatafuna isis wakiingia philiphine,
ni mmoja wa marais vichaa duniani na Trump kamwalika ikulu wakapige story na kichaa mwenzake
 
hahahahaaa duniani kuna mambo. Hiyo meza kakosekana KIM tu story zingenoga balaa
 
Back
Top Bottom