Dutch "Racist" custom?

Katoma

Senior Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
133
Reaction score
10


Wana-JF ningeomba kupata mawazo yenu kuhusu mila ya hawa wenzetu waDachi. Kila mwaka huko Uholanzi katika sikukuu za Krismasi, huwa Father Christmas (Santa Claus) anatembea akiambatana na wasaidizi wake ambao wanaitwa Zwarte Piet ambao huwa wanajipaka chokaa ili waonekane kama watu weusi. Hii inatokana na mila yao tokea kale kuwa msaidizi wa Santa Claus alikuwa mtu mweusi, ingawa kiukweli tuseme alikuwa mtumwa.

Je kwanini hawatumii watu weusi asilia na sio kujipaka chokaa?
Anyway the big deal kwangu ni kuwa, huyu Zwarte Piet kimila anatakiwa awe na tabia fulani fulani katika maonyesho wafanyao mtaani na katika party mbali mbali wakati wa Krismasi. Mara nyingi huwa anafanya vituko ambavyo vinamfanya aonekane kama zezeta, au stupid, na huwa huongea kwa kidachi kisichoeleweka. Hii hasa hasa inatokanana na enzi za ubaguzi/utumwa ambapo watu weusi walikuwa considered wapumbavu au wasio na thamani ukilinganisha na watu weupe.

Anyway, soma zaidi kuhusu hii mila hapa:
[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Zwarte_Piet[/ame]


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=rU3m50RxJzA&feature=related[/ame]

What's your take??
 
By the way, what is the colour of Santa Claus in Africa, if not same white? Does this myth exist in our culture?? who is Santa anyway??

See difference in here, where there is also a Black Santa in whitemen Land!.
<H2 class=post-title>German Christmas
</H2>Kwa nini Santa ana ambatana na Weusi (singependa kusema wa Afrika), wakati a Christmas huko Uholanzi/ Netherland..soma hapa:




[ame]http://www.youtube.com/watch?v=UCUHTDrca4s[/ame]
 
it would be interesting to see father christmas wa Tanzania akiwa amejipaka chaki nyeupe usoni
 
Sintklaas feestje na Kerstdagen ni vitu viwili tofauti.

Sintklaas anakuja tarehe 5 december
Kersdagen/Christmas ni tarehe 25 na 26 december.




 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…