sandpiper
JF-Expert Member
- Jul 27, 2018
- 209
- 186
Ingawa kuna majibu mengi sana kuhusiana na maisha yetu hapa Duniani. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kwa mfano kuna mtu aliyejlikana kama Steve Paul Jobs wakati akiwa kitandani kwa ugonjwa wa kansa aliacha usia huu;
Nimefika kwenye kilele cha mafanikio kweye ulimwengu wa biashara . Kwa mtizamo wa wengine maisha yangu wanayatamani kuyaishi.
Lakini Zaidi ya kazi , nina furaha kidogo sana , Mwisho wa maisha utajiri ni hali tu ya maisha niliozoea
Kwa wakati huu , nikiwa nimelala kwenye kitanda cha wagonjwa na kukumbuka maisha yangu yote , nimegundua kwamba kujulikana kwangu na utajiri nilionao vitu ambavyo nilijivunia vimepauka na vimekuwa havina maana yoyote kwenye hali hii ya kuwa marehemu mtarajiwa.
Kwenye giza hili , nikiangalia taa za kijani kutoka mashine za kunisaidia kuhema na nasikia mvumo wa sauti wa mashine ukilia , Nahisi pumzi za izraili akiwa ananisogelea….
Sasa najua , tukishajikusanyia utajiri wa kutosha kwenye maisha yetu , tunatakiwa kuanza kutafuta vitu vingine ambavyo havina uhusiano na utajiri.
Inatakiwa kitu ambacho kina umuhimu Zaidi,
Labda mahusiano, au Sanaa au hata ndoto zako ulivyokuwa kijana.
Kutafuta utajiri bila kuchoka kutakufanya uwe mtu alie wa ajabu kituko kama mimi.
MUNGU ametupa hisia tuweze kuhisi upendo moyoni na sio ubatili unaoletwa na utajiri
Utajiri wangu niliopata kwenye maisha siwezi kwenda nao huko kuzimu, ninachoweza kwenda nacho ni kumbukumbu tu iliosababishwa na upendo
Huo ndio utajiri wa kweli utakaokufata , kukupa kampani , kukupa nguvu na mwanga wa kuendelea mbele.
Upendo unaweza kusafiri maelfu ya kilometa , maisha hayana mpaka , nenda unapotaka kwenda , fikia kilele cha juu unachotaka , ni wewe tu vyote vipo mikononi mwako na moyoni mwako.
Kitanda gani unakilipia gharama kubwa kuliko vyote ?
Kitanda cha hospitalini…..
Unaweza kumuajiri mtu kukuendeshea gari , kukuzalishia pesa lakini hakika huwezi kumuajiri mtu kuumwa kwa ajili yako
Vitu vilivyopotea vinaweza kupatikana , lakini kuna kitu kimoja kamwe hakiwezi kupatikana kikipotea- Nacho ni uhai
Mtu akiwa anaenda kufanyiwa operesheni , atagundua kwamba kuna kitabu ambacho alitakiwa kukisoma nacho ni kitabu cha uzima
Hajalishi tuko kwenye hatua gani ya maisha kwa wakati huu , baada ya muda itabidi kukabiliana na ile siku ya mwisho wa maisha yetu
Thamini upendo kwa familia yako , upendo kwa mwenza wako na upendo kwa marafiki zako ,
Jipe raha mwenyewe huku ukithamini wenzako pia.
“I reached the pinnacle of success in the business world. In others’ eyes, my life is an epitome of success.
However, aside from work, I have little joy. In the end, wealth is only a fact of life that I am accustomed to.
At this moment, lying on the sick bed and recalling my whole life, I realize that all the recognition and wealth that I took so much pride in, have paled and become meaningless in the face of impending death.
In the darkness, I look at the green lights from the life supporting machines and hear the humming mechanical sounds, I can feel the breath of god of death drawing closer …
Now I know, when we have accumulated sufficient wealth to last our lifetime, we should pursue other matters that are unrelated to wealth …
Should be something that is more important:
Perhaps relationships, perhaps art, perhaps a dream from younger days
Non-stop pursuing of wealth will only turn a person into a twisted being, just like me.
God gave us the senses to let us feel the love in everyone’s heart, not the illusions brought about by wealth.
The wealth I have won in my life I cannot bring with me. What I can bring is only the memories precipitated by love.
That’s the true riches which will follow you, accompany you, giving you strength and light to go on.
Love can travel a thousand miles. Life has no limit. Go where you want to go. Reach the height you want to reach. It is all in your heart and in your hands.
What is the most expensive bed in the world?
Sick bed …
You can employ someone to drive the car for you, make money for you but you cannot have someone to bear the sickness for you.
Material things lost can be found. But there is one thing that can never be found when it is lost — Life.
When a person goes into the operating room, he will realize that there is one book that he has yet to finish reading — Book of Healthy Life.
Whichever stage in life we are at right now, with time, we will face the day when the curtain comes down.
Treasure Love for your family, love for your spouse, love for your friends.
Treat yourself well. Cherish others.”