Duniani kuna mambo

Duh hiyo ni kali kuliko

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
Niliskia mkiwa faragha na mpenzi wako, then anajambajamba eti anataka yale makitu asee!

Sheikh wauliza jibu tenaa?! Ntoto ajamba kama vuvuzela njomba?!!hafichi mambo atiiii
 
Haki ya Mungu walai! Napenda masiara sana! But nachukia sana wanaopiga mizinga (kujamba) hadharani!
Naweza hata kuhairisha gemu 6*6 kule!

sijawahi huwa nafanya ni siri yangu ati
 
sijawahi huwa nafanya ni siri yangu ati

we c ujambage2,adi mumeo umamuonea haya tena wa2 ndan,mi mke wangu ntamtoa waswas khs hl!wajamen kujamba ni kutoa takamwili2!
 
Kuna mtu juzi alishangaa hapa eti hee unajambaje mbele ya mpenzi wako nadhani mes sent.
 
kujamba ni afya unatoa hewa chafu tumboni loh!!!! siyo kitu cha ajabu though vizuri kucontrol kidogo mara moja kwa mwezi akisikia siyo mbaya
 
mh! hivi kumbe na wadada wazuri nao wanajamba ee?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…