Duniani Kuna Mambo

daaaaaah kitu kama mwanamke katanua mguu kwa nyuma au ni makengeza yangu?
 
watanzania na Mafikra ya kingonongono hadi lini?????
 
watanzania na Mafikra ya kingonongono hadi lini?????

as much as i dont agree with your signature but nakubaliana na wawe katika kauli yako!
 
wewe ndo mweny fikra za ngono mana hapo watu wamesema kama mwanamke kanyanyua mguu,,,ni kama anacheza mziki....au kutaja mwanamke ndo ngono
watanzania na Mafikra ya kingonongono hadi lini?????
 
mbona mimi naona mti tu jamani????? hayo mambo ni yapi sasa!!!!
 
Mama D angalia vizuri..upande wa kushoto wa mti huo uanzie chini kuelekea juu halafu angalia upande wa kulia wa huo mtu..utaona kama kifua cha mwanamke alielaza kichwa nyuma na pia kwa upande wa kulia utaona kama amenyanyua mguu..na mikono juu..ni kama anacheza muziki wa salsa vile..au charanga...but just imagination.
mbona mimi naona mti tu jamani????? hayo mambo ni yapi sasa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…