Shida ya Homo Sapiens ni kwamba tendo mlilopewa kwa ajili ya kuzaliana mmelibadilisha na kulifanya kuwa ndiyo starehe namba wani.
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Wewe ukipewa piga shoo kwa kadri ya uwezo wako halafu mengine waachie wenzio. Kinachowasumbua ni kutaka kuonekana mabingwa. Kuna ubingwa gani kwenye sehemu uliyopitia mzima mzima ukatoka na bichwa lako hilo? [emoji15]
Na ili kupunguza mkanganyiko ikikubidi oa bikra ambaye hajui kibamia wala hogo la jang'ombe umzindue mwenyewe na kuendelea kushereherekea naye. Hata
Jokajeusi atafurahi na kukuunga mkono [emoji16][emoji16] [emoji2221][emoji2221][emoji2221]