Duniani hakuna haki

Dr Shika; alinunua nyumba za Rugumi kwa mil 900😉🙄
Anha

Kumbe ndio yule jamaa alisema kuna pesa zake sijui Russia|Pakistan zimekwama kidogo kutokana na System ya wenyewe huko sio Muda zifafika.

Mapema mie nilitambua hakuna pesa pale huyu jamaa kiuhalisia hana pesa kabisa ..Sema ana akili ya kujichetua|Kujitoa wazimu ya kufanya vitu ambayo hana hata uwezo navyo.

".....Tutaelewana kidogo kidogo,Ngoja tuoneshane makali😅.
 
Naamin he is humble ila watu wanamtumia vibaya
 
Huyu jamaa ni Homeless

Mara nyingi anapendelea kushinda upande wa baharini pale State House

Amepoteza uelekeo
What made you think the guy is homeless?!
Nielewavyo the guy had never had a home, he was hosted by a friend of his, ila yeye kuwa hapo pia haimaanishi kawa homeless, anaweza kuwa wapumzike tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna kampuni ya kamari ikamtumia kwenye matangazo yake sijui kama alilipwa pesa nzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa ni Homeless

Mara nyingi anapendelea kushinda upande wa baharini pale State House

Amepoteza uelekeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwani analala huko?! Labda ana mitikasi yake huko baharini, vijana wanasema mjini hakuna shamba, lakini kuna mazao ya kila aina. Mguu wako ndiyo kula yako. Sasa ulitaka ashinde wapi, nyumbani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…