Dunia ya sasa Imejaa wanawake wema wambao sio waaminifu kwenye ndoa zao.....

kanselo

New Member
Dec 30, 2014
1
2
Ni safari ya kutoka Arusha kuelekea Dare s saalam.Nipo kwenye basi na abiria wa upande wangu wa kulia ni mwanamke mzuri wa sura na umbile na mwenye haiba ya upole.Huwa sina Tamaduni ya kuanza kumsalimia mwanamke katika maisha yangu.Kwa umri wa miaka 33 sijabahatika kuwa na mke wala mtoto ijapokuwa nina njaa ya kuitwa baba.

Safari ikiwa imeanza kimya kimetawala na ghafla napigiwa simu na mama yangu mzazi na kuanza zungumza kwa kabila la kinyakyusa na naona jirani yangu akinitizama kama akiwa ana jambo akihitaji kuniambia ,ananipa muda wa kuzungumza kisha napomaliza kuzungumza akaniuliza wewe ni mnyakyusa ? Nami nikampa jibu la hitaji la swali lake na kumuambia ya kuwa mimi ni mnyakyusa halisi nikiwa na maana baba ni mnyakyusa wa kyela na mama Mnyakusa wa Tukuyu.

Tunafungua ukurasa mpya wa maswali kadha wa kadha ,ila najaribu kumtania ya kuwa umetoka kuhesabiwa? ananijibu ndio alikuwa likizo ya mwisho wa mwaka kwa wazazi wake yeye ni mchaga wa marangu.namtania bwasheee yupo wapi? ananijibu yupo Dar essalaam, namuambia mpe hongerza zake.Anashtuka na kuuliza hongera zipi tena? Namuambia amepata mke mzuri wa sura na umbo ijapokuwa sina hakika ya utashi na tabia yako anacheka sana na kusema atafikisha ujumbe.

Naingiwa na tamaaa ya kumuhitaji hasa kulingana na uzuri wake wa sura na rangi maridhawa na kifua kizuri kilicho beba maziwa matamu kwa mtazamo,Kichwani natengeneza maswali ya mjadala mrefu ili kuweza kuwa na mazungumzo marefu naye pasi na shaka anafanya kama navyohitaji.Namuuliza una watoto wangapi ? ananijibu ana watoto wa 3 nabaki na butwaa sababu haonyeshi kama anaweza kuwaa na watoto wa tatu.Nampa swali, wanao walinyonya wapi anacheka sana .

Namuambia anipe matamu ya ndoa ila anasita na kuniambia ya kuwa ndoa za sasa kinachofanya ndoa idumu ni watoto tu ila ndoa nyingi hazina raha bali zina karaha tupu.Namuuliza kwa nini anasema hivyo anasema wanaume sio waaminifu kabisa siku hizi .Nakuwa na maswali mengi sana,N najiuliza sana juu ya kauli yake najiuliza maswali yafuatayo;-
1.Najiuliza mke wa mtu hana raha ya ndo je mumewe anajua hili?
2.kwa nini anazungumza mambo kama haya kwa mtu asiyemjua?
3.Najiuliza hekima na busara ya ndoa ipo wapi siku hizi?
4.haiba ya mwanamke ambaye ni mjenzi wa familia ipo wapi?
5.Uzalendo na raha ya penzi vimekwenda wapi?

kimya changu kinampa nafasi ya kuniuliza swali wewe umeoa ? nami namjibu You could be married and bored or single and lonely. Ain't no happiness nowhere.anacheka sana na anakiri kwa kinywa kuwa siku hizi hakuna mapenzi ila usanii mwingi naingiwa na hisia ya kuwa ndoa za sasa zimepoa sasa ngoja nimuonyeshe the other side of love.Namuambia kuwa mume wake amemchoka kwa kuwa yeye sio mbunifu na mapenzi yakiisha hubaki mazowea na kwenye mazoweandio kuna chimbuko la michezo michafu na aliyechokwa ndio huwa mtumwa wa mapenzi.

Anakuwa makini kwa kila ninachomuambia pia nampa neno gumu ili nijue utashi wake na utetezi wa hoja zake ,namuambia ya kuwa yeye hajui mapenzi na ndio maana hana raha ya penzi angekuwa mjuvi wa mapenzi asingethubutu sema maneno hayo anacheka ila namuambia kwa sasa anapenda nini toka kwa mumewe ananiambia alivyovipenda vyote hana kwa sasa huyo mumewe.Nabaki na mshangao na kujiuliza anawezaje kuwa mke wa mtu kwa kauli kama hizi ?

Mi namuambia najua kila kitu anachotaka toka kwa mwanaume anacheka sana na na ananiamuru kuwa nimuambie anahitaji nini toka kwa mwanaue then najaribu kucheza na akili yake kwa kuwa wanawaake wote mama yao ni mmoja.;-
1.ili mwanamke afurahi yampasa ajione kwamba anapendwa
2.kumsikiliza sana mke wako anaposemaa kuna fanya ndoa iweyenye furaha.
3.kumpa sifa stahiki pale anapofanya yaliyo mazuri na kumuambia unampenda pale mifarakano inapotokea
4.if you can make a girl lough youcan make her do anything
5.it is not lack of love but lack of frienship that makes unhappy marriages kwa ujanja ujanja wangu na

ibracadabra zangu kama one mans ex can be anoher mans treasure .Anacheka sana na anafurahia safari kwa kuwa muda wote tunacheka.

Maneno matamu huupa moyo furaha , siku zote huwa najiamini tulipofika segera nikamuambia najua hauna raha ya mapenzi kwa muda mrefu na najua kuna mtu unachat nae message za mapenzi kazini anacheka sana na kuniuliza umejuaje ? namuambia mwanamke ana siri nzito moyoni ambayo mwanaume hawezi ijua kamwe anacheka na kuniambi am the one in a million .Moyoni najisemea upo wapi utamu wa ndo kama wanawake ndo kama hawa ?namfanya kuwa rafiki nampa uhuru anachangamka ,anakuwa muwazi kwangu yaani namuuliza maswali kama nipo kwenye kamati ya PAC.

Namuambia anitizame anacheka then ananitizama nampa sifa stahiki ya uzuri wake wa sura na umbo na ubora wa maziwa yake kisha namuuliza maswali ya kijinga lakini yenye mashiko kwangu, mara ya mwisho wewe kunyonywa chini na bwashee ni lini anashindwa kujibu.Namuambia ya kuwa nimekutamani na una kila kitu ambacho mwanaume anahitaji toka kwa mwanamke . anacheka saaana .kisha namuambia kilichokosekana katika ndoa yenu ni mazowea kwa kuwa mmezoweana na ugumu wa maisha na u busy wa jiji la dar essalaam umepoteza utashi na utundu wa penzi na tamu ya ndoa .

Anasema anatamani sana kuongea na mimi siku zote kwa kuwa anajifunza mambo mengi sana ,moyoni nishamjua na kichwani nishamuelewa naamua kumtingishia kiberiti kupima boiling point yake ya kuwa nashuka chalinze ili hali twaenda njia moja.Body language baada ya kumuambia maneno hayo anasinyaaa na ukiwa unamwingia anakuwa mnyonge ilihali kwa upande wangu mimi nafurahi ,wanawake ni dhaifu na wanapenda penzi jipya kila uchwao wanapenda kupewa sifa kila uchwao natambua hili.

kimya kinatawala kwa muda mrefu then namua kucheza na akili yake namuambia safari njema .ila yeye anasema safari sio njema tena kwa namuuliza kwa nini anasema sio njema ? ananijibu kuwa naondoka na furaha yake .Nami namuambia ya kuwa sikujua kuwa ana akiba ya maneno matamu kama hayo na kumpa ahadi ya kuwa twaenda wote dar.Anafurahi sana then namuomba mkono wake ananipa kisha namuambia maneno matamu kama [ usijinyime siku moja ya furaha ,usiache sehemu yako ya furaha halali ikuponyoke]

anacheka na kuanza nionyeshe picha ya watoto wake nami na kuwa miongoni mwa furaha yake wakati mwingine wanaume tunakuwa na makosa yanayfanya wanaume watoke nje ya ndoa.Mwanamke anapojua kuwa una mcheat anapoteza ujasiri wa kukataa wanaume wanao mtongoza .Tulipofika ubungo nikamuomba anipe no yake ya simu akanipa na nikamtumia msg[ nitakuwa de france hotel do the best you can for us to meet then i will do the rest A.S.A.P] bila kuchelewa akajibu pls if possible let me come coz i real want to be with you am kind bored bila hiana nikamjibu come over rit away.

Wanaume wengi utundu wa penzi huwa tunafanya mwanzo na ukiishamzowea mwanamke utundu unapungua na kuondoka kabisa na wengi nast game tunacheza kwa wanawake wa nje na ndani unacheza easy game kitu ambacho ni makosa.saa tatu kapiga simu ashafika de france moyoni najiluiza maswali mengi huyu mke wa mtu anakuwa chizi kwa mtu asiyemjua hakika dunia ya sasa imevaa boxer.sikuhitaji kumuuliza habari za mumewe nilicho fanya ni kumkumbatia ,romance for 3 minutes na kumbeba na hiii yote ni kumuonyesha tofauti na radha tofauti.

Nikampa neno moja tu kuishi kungekuwaje na raha gani pasipo mwanamke kama wewe? dunia ingekuwaje tamu? chumbani ni dompoo kinywaji maridhawa kwetu .baada ya muda nilimtoa nguo zote mto chini ya kiuno na kumnyonya dakika 13 mbele na kumnyonya nyuma kwa kadri niwezavyo sababu mapenzi si pesa coz ni uchafu.kama ujuavvyo mwenye shida ana sihi kwa macho na anabembeleza kwa maneno .manka hoi analia kwa furaha anapiga kelele.moyoni najiuliza mke wa mtu hanijui,haulizi kondomu,ananiamini na hanijui.

nampa kitu bora namfanya navyotaka na ananitii nakuniita babe mimi sina habari namgojea anakojoa namkojolea usiku mzima nampeleka chooni ,namsimamisha ,namuinamisha namfaidi sana na kama ilivyo ada wachaga ni wanwake watamu sana.Namfaidi nikiwa nimetenda dhambi kubwa mno ya kutembea na mke wa mtu hakika duniani hakuna mtu mwenye pumzi aliye mkanilifu.namuambia narudi unyakyusani kesho yake analia sana analia kwa uchungu sana ila moyoni nasema .Dunia ya sasa imejaa wanawake wema ambao sio waaminifu.


 
kabla sijasoma, ni ni nini hiyo... riwaya au scripts za tamthilia?
 
Uliposema tu huwa huanzi kusalimia wanawake nilijua tu utakuwa mnyakyusa wa kyela kiburi kingi na maneno mengi lkn hamna kitu zaidi ya majigambo!!!

Mwanamke humjui unatembea nae bila kinga halafu unamuona ye mjinga huenda ye ndo kakushangaa zaidi,umewezaje kutembea nae bila king a wakati humfahamu,unajuaje labda ye anajijua ye na mumewe ni ma victim??we umejiona mjanja kumbe ni mbulula tu kama huyo dada!
 
Uliposema tu huwa huanzi kusalimia wanawake nilijua tu utakuwa mnyakyusa wa kyela kiburi kingi na maneno mengi lkn hamna kitu zaidi ya majigambo!!!

Mwanamke humjui unatembea nae bila kinga halafu unamuona ye mjinga huenda ye ndo kakushangaa zaidi,umewezaje kutembea nae bila king a wakati humfahamu,unajuaje labda ye anajijua ye na mumewe ni ma victim??we umejiona mjanja kumbe ni mbulula tu kama huyo dada!

Ahsante Mkuu umemaliza yote.
 
Mwe mwe mwe kaka angu, yani wewe unamuonea hurumaa huyo dada kuwa hajali afya yake coz amelala na wewe bila hata kukufahamu vizuri, wewe uhofii afya yako? Unamjua huyo mdada vizuri?
 
Mchafuzi wewe ukamnyonye mke wa mtu mbele na nyuma ptuuuuuu

hakika hicho ndo kitu ulichokosa manka,mapenzi ni uchafu tuufyonzao tukiimagine furaha isiyoelezeka,ukiweza fanya hivo hutoyachoka mapenzi,big up mtoa post
 
Uliposema tu huwa huanzi kusalimia wanawake nilijua tu utakuwa mnyakyusa wa kyela kiburi kingi na maneno mengi lkn hamna kitu zaidi ya majigambo!!!

Mwanamke humjui unatembea nae bila kinga halafu unamuona ye mjinga huenda ye ndo kakushangaa zaidi,umewezaje kutembea nae bila king a wakati humfahamu,unajuaje labda ye anajijua ye na mumewe ni ma victim??we umejiona mjanja kumbe ni mbulula tu kama huyo dada!

Nimeshangaa kwa kweli
 
Uliposema tu huwa huanzi kusalimia wanawake nilijua tu utakuwa mnyakyusa wa kyela kiburi kingi na maneno mengi lkn hamna kitu zaidi ya majigambo!!!

Mwanamke humjui unatembea nae bila kinga halafu unamuona ye mjinga huenda ye ndo kakushangaa zaidi,umewezaje kutembea nae bila king a wakati humfahamu,unajuaje labda ye anajijua ye na mumewe ni ma victim??we umejiona mjanja kumbe ni mbulula tu kama huyo dada!

And sred iz klozdi....thank u
 
hakika hicho ndo kitu ulichokosa manka,mapenzi ni uchafu tuufyonzao tukiimagine furaha isiyoelezeka,ukiweza fanya hivo hutoyachoka mapenzi,big up mtoa post

Mtoa post kamkashifu dada wa watu kumbe nayeye hajajali afya yake ptuuu hata kinga hajatumia miaka 33 akili mgando, dharau zimemjaa hana lolote
 
Mtoa post kamkashifu dada wa watu kumbe nayeye hajajali afya yake ptuuu hata kinga hajatumia miaka 33 akili mgando, dharau zimemjaa hana lolote

labda alishameza dawa ya kuzuia ukimwi in advance......
 
Back
Top Bottom