Hahaha!Kwani umegeuka lini binadamu!?!?
Once nyani always nyani. We angalia hata mchango wako ulivyo kaa kinyani nyani.
Hahaha!Kwani umegeuka lini binadamu!?!?
Once nyani always nyani. We angalia hata mchango wako ulivyo kaa kinyani nyani.
Ndugu yangu,! huo ukweli wa kwako uko wapi?Acha uongo ndugu yangu. Kwa nini unaongea uongo huku we mwenyewe ukiuamini kabisa?
Waafrika tuwashukuru sana wazungu, kama sio wazungu tungekuwa kama nyani
Hawa wazungu waache tu kama walivyo, pengine wasingekuwa wao mtu wa Ntwara asingejua kama kuna sehemu inaitwa Mara!
Angalia sudani kusini, Burundi na Zanzibar ndiyo utaelewaDuh..aisee hujitambui,au umeamua kujitoa ufahamu makusudi!
Ndugu yangu,! huo ukweli wa kwako uko wapi?
Kigezo cha uhalisi wa maisha hakupindishi ukweli, hii haihitaji kuwa na degree nyingi.Tumia common sense tu. Angalia maisha wanayoishi wazungu na linganisha na ya kwetu. Utagundua porojo nyingne hazitusaidia.angalia kila kitu around yu ni matokeo ya kazi za wazungu.kila kitu....
Kigezo cha uhalisi wa maisha hakupindishi ukweli, hii haihitaji kuwa na degree nyingi.
Ni jambo la muda tu.
Angalia sudani kusini, Burundi na Zanzibar ndiyo utaelewa
Mkuu rejea post ya kwanza kabisa ili tuanzie hapo.Nambie wewe unatumia kigezo gani?ili tuwekeane facts hapa na si porojo za kila siku
Huu ni ukwel kabisaa!!!.. waafrica tunashindwa kujitawala wnyewe.
mwafrica mwenzangu unanini kujitia hasira za kimbunga kuacha mibuyu na kuparamia #migomba.