Dunia ya Membe na Mustakabali wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dunia ya Membe na Mustakabali wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chanya, May 11, 2011.

 1. C

  Chanya Senior Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 133
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakati akihojiwa katika kipindi cha dakika 45 ITV waziri Membe aliulizwa swali kama mapinduzi yanayoendelea katika nchi za kiarabu yanaweza kutokea TZ jibu lake ni kwamba haiwezekani sababu tuna taratibu zetu na yakitokea DUNIA HAITOKUBALI! lakini ni wazi dunia inawaondoa viongozi na vyama vilivyochokwa na wananchi na si wao dunia mfano Mubarak alikuwa anafanya chaguzi anashinda na alikuwa rafiki wa Bush,Blair,Obama na Cameron lakini alipochokwa dunia ikahamia kwa wananchi naitahadharisha CCM,MEMBE,KIKWETE,PINDA na MAKINDA kwamba hiyo dunia wanayoitegemea siku hizi huunga mkono matakwa ya wananchi siku mkichokwa urafiki na Hiyo DUNIA yenu utakwisha na wataunga mkono mapinduzi na mtaangamia milele na mimi ntakukamata wewe MEMBE tukupeleke mnazi mmoja tukutandike viboko na magamba wenzenu MSITISHE WATU dunia haiamuzi wazee hufata matakwa ya watu so kuweni macho mkichokwa watawakana kama kina mubarak nawasilisha!
   
Loading...