Dunia simama nishuke

Yeah hata mimi yaani nikiona mdemu wanafanyiana vikolombwezo namna hiyo ndio mzuka unapanda wa kuwatembezea moto.
 
Kwanini niichafue Arusha chaaali angu, sina hiyo intention kabisa na ushahidi ninao hata hiyo mahali naweza kukuelekeza. Sikatai dar wamejazana ila sikutegemea kukuta na huku
akili yako finyu aisee... Arusha na kilimanjaro 60% ya watalii wanaishi kule. Wale ndio wanaleta huo uchafu halafu unasambaa. Sasa unashangaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…