Dunia simama nishuke

Dunia simama nishuke

LICHADI

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2015
Posts
4,692
Reaction score
13,316
Huyo mzee anaitwa William Bruce Jenner Baba wa Kardashian Familly, ni Baba mzazi wa wanamitindo Kylie Jenner pamoja na Kendle Jenner , Pia ni baba mlezi wa kina Kim Kardashian .

Baada ya kutojikubali kuna yeye ni mwanaume aliamua kutoa fedha ili kufanyiwa upasuaji mkubwa ambao alibadili baadhi ya sehem zake za mwili ili zifanane na za mwanamke, alibadili sehem za siri kutoka penis(uume) kuwa na uke wa bandia na pia alifanyiwa upasuaji wa kifua kwa ajili ya kukuza matiti ili afanane na mwanamke.

Baada ya upasuaji kumalizika na kuwa na muonekano wa kike alibadili jina rasmi na kujiita Caitlyn Bruce Jenner na kujitangaza kuwa yeye kwa sasa ni mwanamke na sio mwanaume tena

caitlynjenner-20181226-0001.jpeg

Familia yake imejaaliwa kuwa na utajiri mkubwa ikiwemo watoto wake ambao wote ni matajiri akiwemo Kylie Jenner ambaye anaumri wa miaka 21 na ana utajiri wa Trillioni 1.9, Licha ya familia hii kuwa matajiri wa kutupwa lakini ni familia ambayo haina maadili kutokana na vitendo vyao wanavyovionyesha kwa jamii

Picha za Bruce Jenner enzi hizo mwanaume mashine kabla hajazeeka na kujibadilisha jinsia

980x-2.jpeg

980x-3.jpeg

980x.jpeg
 
View attachment 977861

Familia yake imejaaliwa kuwa na utajiri mkubwa ikiwemo watoto wake ambao wote ni matajiri akiwemo Kylie Jenner ambaye anaumri wa miaka 21 na ana utajiri wa Trillioni 1.9, Licha ya familia hii kuwa matajiri wa kutupwa lakini ni familia ambayo haina maadili kutokana na vitendo vyao wanavyovionyesha kwa jamii

Picha za Bruce Jenner enzi hizo mwanaume mashine kabla hajazeeka na kujibadilisha jinsia

View attachment 977879

View attachment 977880

View attachment 977881

Kasahau kubadili sauti
 
Shida ya huyu jamaa kageuza watoto wake wa kike kuwa role models wake!

Maisha ya watoto wake yamemchanganya kiasi nae anataka afikie walipofikia. Stupid
 
Kwa jinsi dunia ilivyo kasi huwezi kuvijua vitu vyote kwa
Wakati mmoja. na ndio maana hata ww kuna vitu vingi sana hauvijui.
Hii issue ilikuwa kicked sana chief... yaani ilivuma haswaa sio kipole pole ... so wengi ambao hawajui kuhusu hii habari ni wale watu ambao hawajajiweka karibu na mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom