Sehemu kubwa ya makosa yako ipo hapa!
Pili kisasi haki saidii bali humwongezea mtu ubaya na matukio ya ajabu kuibuka..
Jifunze kusamehe hii itakusaidia sana, Tafumbinu ya kuelekezana na mwenzio kwani bado mnasafari ndefu kwenye masomo yenu, Tafuta tofauti zenu zilianzia wapi inawezekana sio kuremove kwenye group, Maybe there’s another issue between you two, Hayo ndio maisha ya vyuoni mostly yanavyokua!