Hizi siasa saa nyingine ni kuziacha, hao unaowaita magaidi wamekuwa wakipata hifadhi, ufadhili na viwanja vya kufanyia mazoezi ndani ya Pakistan afu leo eti balozi wa Pakistan, anawakemea, labda alikuwa anaongea kinyume chake.
Fatilieni makubaliana ya DOHA ( Doha agreement )
Ndo hivyo tena.Wamefanya makubaliano ya amani.Marekani anajitoa anamwachia Taliban.Hakuna makubaliano ya magaidi kuvunja Sheria za nchi
Ha ha haHiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!
Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
Acha chuki..Ndo Dini inavotakaHiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!
Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
Hiyo nchi imeshindikana; ni kuyaacha yauwane labda yatatia akili. Statement ya kwanza yalipoingia Ikulu ni kuwataka wanawake wote walioajiriwa kuacha kazi mara moja na kubaki majumbani!
Yaani Mama Samia anatakiwa abaki nyumbani kwa mumewe mara moja! Akili matope?
Ndo hivyo tena.Wamefanya makubaliano ya amani.Marekani anajitoa anamwachia Taliban.
Mbona hamkukemea NATO mauaji waliyofanya Libya? Africa waliokuwa na hizo balls za kuongea wote wametangulia mbele za haki, tumebaki vichwa maji...