Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Usidhani hili ni sanamu la kampuni ya kiatu, lakini hili ni kanisa lililofunguliwa katika eneo la Kusini-magharibi mwa Pwani ya #Taiwan.
Kanisa hili lina urefu wa mita 17 na upana wa mita 11 huku likiwa limetengenezwa kwa vipande 320 za kioo.