Dunia isimdharau Kim Jong-un

Kiduku ana mkwara tu siku USA wakilamsha dude atafyata mkia
Sasa utasemaje ana mkwara huku akiwa na uwezo wa kumpiga mmarekani akiwa kwake tu, utasemaje ana mikwara huku Ana uwezo wa Bomu la nuclear na lile la hydrogen . utasemaje ana mikwara wakati anatumia operating system ya kwake . kiufup yupo vizuri sizan kama ni jambo jepesi kumpiga
 
Uko sahihi mkuu, hata mimi nilikuwa na wasi wasi Sana na jeuri ya Nk Inaonekana urusi na China, hawa ndo wanampa kiburi Kiduku.
 
Wewe wa namanyere rukwa umejuaje hiyo unayosema technologia ya kufa mtu ambayo jirani yake mjapani hajaijua
 
kiduku mkwala tu.....ni sawa na mtu una nyumba ya nyasi na una miliki SMG.
Hiyo Nyumba ina heshima kuliko kuwa na gorofa lenye manati ndani... Mtafute masikini mwingine mwenye kiburi kwa Marekani kama alivyo NK.
 
Marekani ina silaha nyingi sana za kinuclear ambazo hana uhakika kama hakuna mtu anaeweza kuvipiga kombora vikalipuka. Maana vikilipuka vitailipua nchi nzima. Ndiyo maana Marekani hataki vita inayoweza kupiganiwa ndani ya Marekani kwa kuepusha hilo. Siku zote Marekani anakuwa wa kwanza kurusha risasi hukohuko adui iliko ili kueousha hilo. Angekuwa na uhakika 100% wa kumpiga NK angeshapiga muda mrefu uliopita. Tukubali tu kwamba bw mkubwa hapa atabaki kukenua tu.
 
kama kuna uchawi duniani basi uchawi mkubwa ni Technology north siyo watu wakupuuza linapokuja suala la technology !!
Sijaona jipya walilo lifanya mpaka sasa kombora wanazo fanya majaribio wenzao walisha yafanya 60 years back unazan technology ni stagnant ivo watu wako na
Laws/laser weapons system nn midubwana iyo??
 
Sijaona jipya walilo lifanya mpaka sasa kombora wanazo fanya majaribio wenzao walisha yafanya 60 years back unazan technology ni stagnant ivo watu wako na
Laws/laser weapons system nn midubwana iyo??
Huwezi kuona siyo technology zote huwa zinawekwa wazi !!
uchawi wa technology ni siri kubwa sana !!
North wanaweza fanya jambo ambalo linaweza shangaza dunia !!
Siyo wepesi linapokuja suala la technology hizo laser zinaweza kuwa loser yote yanawezekana wala hujawahi kuona sehemu iyo loser ilipo fanyiwa majaribio!!
 
Upo sahihi , kwanini dogo anajiamini sana
 
Kama umeelewa yanini umkosoe mwenzio?

Sijamuelewa ndo maana nikamwomba atumie lugha anayoiweza. Hiyo lugha aliyoandika alikuwa anamuandikia Kim il Jung au ni sisi? Andika lugha unayoiweza usiandike usozijua
 
Sijamuelewa ndo maana nikamwomba atumie lugha anayoiweza. Hiyo lugha aliyoandika alikuwa anamuandikia Kim il Jung au ni sisi? Andika lugha unayoiweza usiandike usozijua
Hahahaha alikua anamuandikia mr roket man
 
Putin aliwahi sema kumwekea vikwazo north Korea ni kuzidi kumhamasisha atengeneze mabomu zaidi kwani lengo lake ni kufeel safe,hivyo kuhatarisha usalama wake kutazidi kumfanya apambane zaidi,hivyo njia bora ni negotiations!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…