Dunia isimdharau Kim Jong-un

THAT ZIONIST EVIL WANT WAR111 WAR TO USE STUPID AMERICAN TO GET TO RUSSIA CHINA TO DESTROY THEM AND AMERICA .AND THEN USE NUKES TO MIDDLE EAST TO MAKE JUST JEW BE IN THE WRLD ZIONIST EVIL INTERNATIONL TERRORIST DREAMS
Una PhD fake nini? hata huelewwki!
 
Asiye na idea na science hata kidogo ndo anaweza sema hivyo. Kim hana uwezo huo uliosema. Hata Marekani kwa sasa hana, unadhani satellite zote angani unaenda na kuzima tu kama taa? Kujam submarines na ndege zote? Hehehe story za kahawa hizo.

Hana uwezo wa kuyumbisha dunia nzima, ni kelele tu.
 
Kama Muingereza, Mfaransa na Mjerumani hawajatoa kauli ya kumuunga mkono Marekani (USA) peke yake hawezi kiingia vitani.....!!

Anajua fika atachapika..
Unaongelea nchi za Ulaya ambazo ziko vile kwakuwa USA ilipenda ziwe vile. Tusiangalie vita ambazo huwa anataka waunge mkono ili kuiaminisha Dunia kwamba sio ubabe wake tu.
DPRK iko pale leo ni kwasababu ya China na Russia na wao hawamtaki USA pale vinginevyo kazi ingemalizika miaka ya 50
 
Umekariri na kuaminishwa
 
Itabidi wategemee vikwazo sio mtutu. Korea hana cha kupoteza hapa duniani ndio maana haogopi kuitungua dunia. Majaribio tu ya zana zake za kijeshi yana uwezo wa kusababisha matetemeko ya ardhi na mafuriko kwenye nchi nyingine.
 
The Rocketman Kim siyo wa kumchukulia poa kiasi hicho. Atakuja kumnyoa Wigiman bila wembe mpaka Dunia itashangaa.
 
Umekariri na kuaminishwa
Hahahah unahoja nyepesi sana kiufupi kwenye hili hakuna unachojua zaidi ya taarifa za kusikia.... So siwezi kubishana na wewe!!.

Hata comment niliotoa ni hisani tuu...hukupaswa kujibiwa chochote Kwa hoja za kusemekana!!!



Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Amchape tuu kisha akatae kulipa. Ye si ana nguvu watamfanya nini?
 
Mugabe kasema hakuna taifa dogo kijeshi na kiteknolojia, hata Zimbabwe inaweza kupambana nao hao Marekani! Duh sasa hii kasheshe
 
Una tatizo la imani. Sio wewe tu kwani hata siku Daudi alivyompiga Goliath kwa jiwe moja watu kama wewe waliombeza Daud walikuwepo pia. Leo pia unashindwa kuamini kuwa yule Mungu wa akina Daudi na Goliath ni yuleyule Mungu wa akina Kim Jong na Donald Trump wa leo.
 
Unaleta swala la Imani uliyokalilishwa?kaa hapo..
 
THAT ZIONIST EVIL WANT WAR111 WAR TO USE STUPID AMERICAN TO GET TO RUSSIA CHINA TO DESTROY THEM AND AMERICA .AND THEN USE NUKES TO MIDDLE EAST TO MAKE JUST JEW BE IN THE WRLD ZIONIST EVIL INTERNATIONL TERRORIST DREAMS
Hahaha! u ung'eng'e duh!

Lugha gani hii kuu?? Is this English, Germany or Russian?? Soma tena ulichoandika au mwombe mwanao wa darasa la 6 akuandikie.
 
Kuna watu hawafikiri vizuri. Chuki zao binafsi dhidi ya marekani zinawafanye wawe na ndoto halisia za kuona marekani imefutika. Hawapendi kuwaza na kufikiri kiuhalisia. Historia tu inakataa kabisa dunia kukaliwa na nchi mbili au zaidi super power. Haijawahi kabisa kutokea. NK anavumiliwa tu ili kuepusha majanga na gharama kubwa za vita hasa baada ya vita. Wakubwa wakimwamulia hats hizo ICBM hazitaruka, zitaharibiwa hapo hapo NK.

Mpaka sasa hakuna viashiria vinavyoonyesha kuwa marekani ita-collapse soon zaidi tunaiona ikiimarika kila Siku hivyo itakuwepo sana kwa muda mrefu.
 
Mkwala wa Kiduku sio wakupuuza, lazima kuna kitu anajivunia nyuma ya pazia marekani now ni mchumba tu kwa nchi nyingi sema wanamchuniaga tu na ubabe wake wa kimamboleo.

Mwaka 1958 General Douglas McArthur wa Jeshi la Marekani alipoamuru askari wa Marekani wavamie North Korea Kabla White house haijaidhinisha, Wachina 2000000 walijiandikisha kwenda kupigana na kuisaidia Korea. Vita iliisha mapema kwa aibu kubwa kwa Marekani.McArthur alikuwa discharged na Mkuu wa Nchi. Leo Mrusi na Mchina kuna uwezekano mkubwa wakaingia Katika vita ile. Trump ameliona hilo ndio maana hajafanya kitu kikubwa hadi sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…