Wayahudi ni wabaguzi tu. Mfano Tz hapa mambo ya kujitambulisha kwa makabila yaliishapitwa na wakati, watu wanaoana, makazini wakristu kwa waislam full kukaa pamoja, bila hata kuhisi huyu mwenzako ni tofauti.
Watu wengi ulimwenguni wanaishi hivyo, they dont care about identity - ni rahisi kuwakuta pure wazungu wakiamia eneo jingine na kuwa wa huko milele..angalia mfano US...wakina Trump na wanzungu wote wa huko sio kwao huko but they dont care where they came from, it is already their home - vivyo hivyo kwa blacks...wengi walienda kama watumwa..but wamekuwa assimilated na hata hawajui asili zao ni wapi - wanatengeneza culture ya kwao hapohapo.
For jews it is different - WANAKAUBAGUZI fulani hivi ka kujiona wao sio kama watu wengine -
Hizo vumbuzi ulizotaja hapo..huo utaalamu walifundishwa nchi nyingine - wamepewa ujuzi na mataifa mengine kabisa wala sio nchini kwao - wao ujanjaujanja wanajua lobbying, marketing - working on their best interests - hizo vumbuzi sio kwamba mtu aliibuka tu kisa ni Myahudi akajua - wamepitia shule za watu wamataifa mengine - wamechukua utaalamu wa watu wengine ambao hawajali sana kujitambulisha kwa makabila yao n.k.Utaalamu wameutoa Ujerumani huko, Russia, Western Europe....n.k.
Wayahudi hata kama baba yako, mama yako, bibi yako, babu na babu zako walikua na mkachanganyiko ka damu yao...na uko potential..UTAPAMBWA na kupigiwa marketing uonekani utafikiri wewe ndo myahudi by 98%.
Hao wavumbuzi unaotaja hapo utakuta ni mchanganyiko wa damu hatari - utakuta ni Mrusi na Myahudi..lkn hapo utaona ni Jew, utakuta ni mchanganyiko wa Wazungu lkn hapo upande wa pili haupewi nguvu utasikia ni Jew.
Thats why hata hao jews ni pure Europeans kwa muonekano na sio people from the middle East - damu imevurugwa sana lkn hutasikia upande wa pili.
Mfano kuna hawa Ethiopiani Jews weusi kama sisi tu..lkn wakigundua kitu utasikia huyu ni Jew..hiyo black pigment haitaongelewa kabisa..(UBAGUZI)...
Kuna watu wanaakili sana lkn hawana show off za kijinga na ukitaka ujue kacheck civilization yao na level ya ustaarabu, maendeleo na maisha wanavyoishi - Wajapan, Wakorea, Wachina etc...wanaulimwengu wao na unaona kabisa hawa watu wana akili...check magari - Toyota n.k. angekuwa ndo myahudi anatutengenezea haya magari mbona tungekoma - Wahindi huko ambao ndo tunatumia dawa zao nyingi hapa huwezi wasikia wakijibost au kuwekwa kwenye headlines - Kuna Wamisri pale kitambo wanapiga hesabu ndo chimbuko la computers n.k.
Kuna wajerumani kule wanatoa vitu conc kabisa - kuanzia mashine zote za mahospitalini, magari, sijui mavazi etc..lkn huoni watu wakitamka sijui bila Ujerumani Dunia ingekuwaje...Kuna waingereza, Kuna wadatch kule...
Kuna watu watu waliofanikiwa kwenye biashara na technologia hata tajiri namba moja Elon Musk sio Jew..wanafanya vitu vingi lkn huwezi sikia watu wakihangaika....
Watu wamefanya vitu vingi na wanaendelea kufanya sio hao WAYAHUDI tu....