Dunia inavoonekana Kwa mbali

Dunia inavoonekana Kwa mbali

Sambinyakwe kitololo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2022
Posts
2,429
Reaction score
2,970
Habari zenu wakuu,, jinsi Dunia inavoonekana Kwa mbali Kwa kweli ni kitu Cha kustaajabisha

Hua Nawaza kama Kuna sehemu ( sayari ) Kuna viumbe kama sisi basi siku wakija huku watakua wanashangaa sana

Maana Kwa picha zinazoonekana Kwa mbali huwezi Dhania ndani ya hio Dunia ukifika Kuna technology za ajabu ,, watu wanawasiliana live bara to bara,, ndani ya hio Dunia Kuna mengi binadamu wameweza jitengenezea umeme wap nyumba zao nk,, wanavaa nguo, wameweza Unda vifaa kama capacitor ,resistor, na circuit mbali mbali zinatengenezwa,

Wameweza Jenga majengo marefu ambapo Kwa mbali unaona ni duara tu

Hua Nawaza mfano kiumbe kutoka sayari ingine kama vipo si watakua wanashangaa sana je na sisi tukienda kwao tutaona vitu vya ajabu sana,, mfano their means of transport nakadhalika,

Technology hio hio inasababisha tunauana , kwenye Hilo li mpira kizuri huwezi Dhania kama Kuna mtu Yuko tayari kuua Ili aendelee Baki madarakani daaa
 

Attachments

  • Screenshot_20260407-150557.png
    Screenshot_20260407-150557.png
    636.1 KB · Views: 2
Kinachosikitisha ni kuwa mpaka sasa haijulikani hasa kama kuna sayari yenye viumbe wenye akili au hata inayoweza sapoti uhai asilimia mia ila bado tunaiharibu sehemu pekee yenye maana kubwa kwenye ulimwengu
Ingekua unyama sana kama tungepata sayari kama hii.

Japo naamini ipo ila kuifikia ndo kipengele kwa jinsi ulimwengu ulivyo mkubwa.
 
ila hakuna viumbe wenye akili na kama wapo huenda hawajaendelea sana kiteknolojia maana tungekuwa hata tumenasa hata vyombo vyao,
Za proxima centauri ni ngumu kufikia kwa umbali uliopo tu sembesu hizo billion nyingine zinazokadiriwa kuwepo 🤔
 
Back
Top Bottom