Dunia inaongozwa na pesa, mkono wa shetani

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Allhamudulilah,

Serikali inayoendelea kwa sasa hivi kuongoza Duniani ni serikali ya shetani. Tuko kwenye mtengo mkubwa sana ndio maana shetani alisema na kuapa kwa Muumba, we nipe Dunia nitapata waja wangu na we utapata wako.

pesa.jpeg

PESA
Pesa ndio kitu kikubwa Duniani kwa sasa, unaweza kuacha kitu chochote ukafukuzia pesa, hata ukiona au ukasikia mtu katapeliwa tambua sababu ni pesa.

Ukisikia mauaji, lazima hapo kuna pesa aliyeuliwa kudaiwa pesa au mtu alitekeleza jukumu amepewa pesa.

Biashara ya ngono, hii ni pesa maana hakuna dada atakupa mwili wake bure lazima utatumia pesa maana atadai lazima usafi n.k ufanyike.

VIONGOZI
Wako madarakani kwa sababu ya kuvuna pesa. Pesa ni mfumo.

Haya, nani anachomoka kwenye mkono hii ya shetani?
 
Pesa sio mkono wa shetani
 
Sio mkono washetani mazee ivi unajua pia ata kwenye vitabu vya din tunatakiwa tupambane amna mtu anaetakiwa awe masikini utajiri ni mzuri na sio pesa zote ni mkono wa shetani zingine ni baraka za mungu sema ni tumejijengea kwamba pesa ni za shetani
 
Hata manabii kutwa kuhubiri kuhusu sadaka, yote ni pesaa.

Ila pesa ya kifala sana asee, inatupelekesha mnoo
Sadaka ni agano wanapoubiri juu ya sadaka ni sawa wameandikiwa kula madhabahuni na hata wanao enda kwa waganga sio kawa hawatoi sadaka ni imani juu ya sadaka unayoitoa bila sadaka hakuna kufanikiwa nakwambia ila mi so muhuhiri ee[emoji23]
 
Back
Top Bottom