Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,273
- 7,363
Habarini wakuu,
Maendeleo ya sayansi na technology yamechangia sana swala la mahusiano kuzidi kuwa complicated,Unaweza ukawalaumu sana hawa viumbe ( Wanawake) kwamba labda wana tamaa sana, wamesahau majukumu yao, wanapenda sana status na watu wenye pesa
Lakini ukweli ni kwamba, mwanamke wa generation hii huwez kum treat the same wanawake wa before 1985, kwakua hawa wa sasa wamechangamka sana kutokana na maendeleo ya sayansi na technology ,na hakuna mwanamke anakubali kubaki nyuma kimaendeleo kwa kisingizio cha true love, hivyo wanaume inabidi tupambane haswa kuisaka pesa ili kuweza kwenda sambamba na hawa viumbe ,nje ya hapo tutaishia kuwalaumu lakini hatutabadilisha chochote
Kazi km kuosha vyombo, kupika,kufua na usafi kwa ujumla inapaswa afanye mwanamke ..lakini kwa dunia ya leo mwanamke akikukatalia kufanya hvo...sio swala la kushangaza sana coz hata yeye anaishi kwa kutafuta kipato na haijalishi km hicho kipato chake anakigawa kwa ajili ya familia au laa
Kwa upande mwingine huu ukuaji wa technology na uwepo wa social networks km instagram, tiktok, snapchat n.k ..vimefanya tuzid kuona kwamba generation hii ni ngumu sana kupata mwanamke wa kuweza kufanya naye maisha kwa sababu wengi wao wamekua addicted sana na hzo social networks kiasi kwamba siku ikipita hajapost kitu anaweza kuumwa ..maishi ya mitandao yamewagueza wamekua vituko mbele ya jamii ,na chakushangaza zaidi wala wao hawajali kabisa na wanaona ni sahihi kufanya hvyo
Ninachoamini hawa wanawake wa sasa inabidi kujifunza kuishi nao kutokana na mabadiliko haya ,nje ya hapo lawama hazitaisha
With regards & thanks
Dagger-v