Dunia inadaiwa na nani?

Dunia inadaiwa na nani?

Mkuu weka vizuri andiko laki🤣🤣🤣🤣🪑💺
 
Kama ambavyo wewe unaweza kuwa na deni benki la milioni 50 wakati jumla ya mshahara wako kwa mwaka ni milioni 25.

Walichofanya ni kuchukua idadi ya mikopo yote duniani na kuijumlisha pamoja
 
Nimekuelewa mkuu
 
Nimeona mahali kuwa Dunia inadaiwa Mara 3 ya Pato lake

Sasa inadaiwa na Nani ???

Naomba kufahamishwa
Yaani kuna wajinga wana mamlaka ya kuchapisha hela halafu wanazikopesha. Na wanadai na riba juu wakati sisi huku chini kupata hiyo buku mpaka upambane. Ko ndiyo hivyo. Na hii ni hatari sana ipo siku kwa kadri deni linavyoendeleakuwa kubwa uchumi wa dunia utaanguka
 
Duh
 
Kama ambavyo wewe unaweza kuwa na deni benki la milioni 50 wakati jumla ya mshahara wako kwa mwaka ni milioni 25.

Walichofanya ni kuchukua idadi ya mikopo yote duniani na kuijumlisha pamoja
Sasa iweje wachukue deni langu wajumlishe na la mo dewji halafu waseme dunia inadaiwa? Kuna watu hawajawahi kukopa na wapo hapa duniani.
 
Back
Top Bottom