wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Jan 30, 2019 #1 Yaani siku hizi mwanamke mwenye matako makubwa (wowowo)anajiamini sana kuliko yule mwenye degree..[emoji2][emoji2]
Yaani siku hizi mwanamke mwenye matako makubwa (wowowo)anajiamini sana kuliko yule mwenye degree..[emoji2][emoji2]
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 22,942 Reaction score 46,090 Jan 30, 2019 #2 Ni mpito tu kwasababu hata wasio na nundu hawakufwi na utamu wao
S Shaka-Zulu JF-Expert Member Joined Nov 20, 2018 Posts 432 Reaction score 831 Jan 30, 2019 #3 Mkuu, ya kushangaza ni degree na wowowo, zote ni feki!
Chinengu Member Joined Jan 20, 2019 Posts 92 Reaction score 85 Jan 30, 2019 #4 Ngongingo ndio habari ya mujini
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Jan 30, 2019 #5 Mada ndio imeisha?
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,733 Jan 30, 2019 #6 Msambwanda uliokaa vizuri na msafi ni zaidi ya hiyo ki degree chako, kwani degree inamvutia mwanamme kwa lipi?
Msambwanda uliokaa vizuri na msafi ni zaidi ya hiyo ki degree chako, kwani degree inamvutia mwanamme kwa lipi?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Jan 30, 2019 Thread starter #7 Kabisa mkuu mbalizi1 said: Ni mpito tu kwasababu hata wasio na nundu hawakufwi na utamu wao Click to expand...
Kabisa mkuu mbalizi1 said: Ni mpito tu kwasababu hata wasio na nundu hawakufwi na utamu wao Click to expand...
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Jan 30, 2019 Thread starter #8 Hapa ndio tanzania ilipifikia kwa kweli Jay One said: Msambwanda uliokaa vizuri na msafi ni zaidi ya hiyo ki degree chako, kwani degree inamvutia mwanamme kwa lipi? Click to expand...
Hapa ndio tanzania ilipifikia kwa kweli Jay One said: Msambwanda uliokaa vizuri na msafi ni zaidi ya hiyo ki degree chako, kwani degree inamvutia mwanamme kwa lipi? Click to expand...
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,733 Jan 30, 2019 #9 wa stendi said: Hapa ndio tanzania ilipifikia kwa kweli Click to expand... Sio Tz kila sehemu duniani.. Labda ww huna exposure, umewahi fika nchi zipi zingine zaidi ya Tz? Kuwa mkweli
wa stendi said: Hapa ndio tanzania ilipifikia kwa kweli Click to expand... Sio Tz kila sehemu duniani.. Labda ww huna exposure, umewahi fika nchi zipi zingine zaidi ya Tz? Kuwa mkweli
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,530 Jan 30, 2019 Thread starter #10 Jay One said: Sio Tz kila sehemu duniani.. Labda ww huna exposure, umewahi fika nchi zipi zingine zaidi ya Tz? Kuwa mkweli Click to expand... Nikisema ndo mwanzo wa kuogopana au kuhisiana ila kiufupi tangu mwaka jana mwezi wa 11 mwanzoni sikuwa hata hapa afrika ndo nimerudibjuzi j.mosi. Naomba kuishia hapo tafadhali.
Jay One said: Sio Tz kila sehemu duniani.. Labda ww huna exposure, umewahi fika nchi zipi zingine zaidi ya Tz? Kuwa mkweli Click to expand... Nikisema ndo mwanzo wa kuogopana au kuhisiana ila kiufupi tangu mwaka jana mwezi wa 11 mwanzoni sikuwa hata hapa afrika ndo nimerudibjuzi j.mosi. Naomba kuishia hapo tafadhali.