Jstar1
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,392
- 1,416
Mara ghafla nawai kwenye dala dala, Jstar1 mwenyewe, ile nakarbia tu kukaa kwenye seat, mara ghafla ety naunguza mboga, wakati kipindi naanza kupika nilijua kabisa mimi siwezi kucheza mpira.
Sasa kama mimi mtu unakubali kabisa, mara paap naenda kununu chai, kabla sijamalza kucheza mziki yule demu akasogea karbu yangu, ila kipindi napanda ule mti mvua ilikua haijaanza kunyesha.
sasa kama mtu unaanza la kwanza, alafu siku umeenda kuanza siku io io unapoteza penseli, ivi unais utapata pesheni, au wakati kipindi unakula magimbi bila maji ulitegemea nini.
mimi nashangaa kabisa, yaani eti mtu unaamka asbui na mapema, ila wakati ndege za kenya airways waga nakaa seat za mbele.