Dunia Ina mengi yasioeleweka.

Wakuja town wanatafuta kazi badala ya kutafuta PESA.

Hawajui kupata kazi ni kazi sana kuliko kupata pesa.

Wengi hapa mjini wana pesa ndefu lakini hawana kazi/ajira

SHTUKA.
Kupata pesa, unahitaji pesa na connections.

Vitu ambavyo wakuja wengi hawana na wanahitaji kupata kazi ili kupata pesa na connections.

Na watu tofauti wana vipaji na qualifications tofauti, sasa mtu ambaye anaweza kuitoa life kwa kuanza na kazi ni sawa tu aanzie hapo.

Kwa sababu pengine hapo ndipo ana advantage nzuri ya kuanzia.
 
Kupata pesa ni process, haiji tu kizembe na hata ikija kama haijafuata process zake itakata mapema sana. Waliofika mbali walipitia hatua kadhaa, leo wanakula kivulini coz walifuata kanuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…