Dunia ina Mambo...

Oh! Hutaki kukoselewa wala kuelimishwa...

Seems like kukosolewa au kuelimishwa kwako unaona ni kama kuwa downgraded ukisahau kwamba no one is perfect, and admitting mistake or one's own shortcomings is one way of learning!

Anyway, kwavile hutaki kuelimishwa ingawaje nawe unachojatribu kufanya ndicho hicho hicho, I can't argue with you no more, but trust me, JF ni zaidi ya Jukwaa... we all learn from JF a thing or two, and we learn from each other by admitting our shortcomings!!

All in all, stay blessed!!
 
Hii mechi ya leo,
nashauri kocha aanzishe kikosi kile kilichocheza na MAN UTD.
 
Jifunze kuandika. Bandiko moja linatakuwa kwa na mada moja. Sasa wewe unachanganya mambo mengi hadi msomaji anapotea.
Sasa wewe mchangiaji mbona sijaona tofauti ya ulichoandika na unayemuandikia.

Sentensi zako hazijaleta mantiki umenipa shida kuunganisha dots hatimaye kupata ujumbe.

Usipende kukosoa, hakuna aliye mkamilifu
 
Natamani ningempata wa hivyo
 
nimekuelewa sana upo makini na umeongea kweli. acha wanaoponda waponde natamani ningepata mwanamke ninaye muhandle awe hata mama wa home, wanaotaka wanawake wa kichagga wapambanaji acha watafute, mi mchagga ila siwataki wa kabila langu .
 
Ukiona umeanza kuwaelewa wanawake jua UNAKARIBIA KUFA.

#YNWA
 
Suala la msingi mwanamke ukishaolewa zingatia wajibu wako maana kwa jinsi ulivyojieleza inaonesha umechoka maisha ya shida unahitaji mtu wa kukusaidia maishani na tambua kuna watu waliotumia muda na pesa zao kusomesha watoto wao wa kike ili waje waishi vizuri na kweli huwa wanafanikiwa na wanapoolewa sidhani kama wanakuwa na mawazo kama yako na cha kuongezea ukiolewa ndio uje utoe ushauri kwa sasa tunajua mwanamke anayejiita PISI ni shida kidogo.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…