Dunia ina mambo

Umeandika kwa hisia kali sana ,ukweli mtupu.Tuombe sana tusiwe sehemu ya janga hili kama bado.Tuombee na vizazi vyetu
Kabisa na tusiwe na kejeli au Kashfa....Tutegemee huruma na upendo wa Mungu......na familia kila siku kwa miaka 38 baba alikuwa anarudi Nyumbani kwa mkewe saa tisa kamili.....alipokufa ...siku wanamzika walitokea wanawake 4 wote ana watoto nao..na ajawai chelewa kurudi nyumbani... Just usali na omba Mungu 🙏Usiwe kwenye Data base ya TACAIDS...wewe kama wewe ata kama unavaaa Mipira mpaka kifuani.kama upo Numbered upo tu...
 
Mimi namlaani sana aliyeleta hizi dawa.
Hawa wagonjwa hawajiheshimu kabisa.
Yaani wanavyozidi kuishi ndivyo wanavyozidi kuua watu.
Ilitakiwa wafe tu maana lengo la dawa wao hawalijui.
Umepima lini afya yako mkuu?
 
RIP Manongi, kifo hakina sababu kipo tu. Najiona mzima lkn kinakuja tu.
 
Mkuu naomba nitag kwenye huo uzi WA jamaa wa bagamoyo au naomba link.
 
Big up sana Mkuu. Nimeukubali sana ujumbe wako.
 
Sure.
 
Amen.
 
Kuna mtu kakosa maadili ya kazi hapo. Btw nilifikiri hizi dawa zinatolewa kwenye vituo maalum
 
Utakuwa ulikaa muda mrefu sana hapo dukani.
Hapana, hakukaa sana kwani nilimwona akiingia. Aliingia wakati mmbaya sana, ulikuwa ni muda wa kupata kidonge yake nalo likatinga dukani na kuanza kupiga mastori. Muda ulivyozidi tukajua tutaharibu dozz ndo maana watu tukatinga ndani.
Mwambie asirudie tena akajaharibu dozz za watu
 
Sijui nitamuagaje mume wangu nitoke nikanywe dawa pharmacy, hata nikimuambia ndimu zimekwisha ninakwenda gengeni na yeye anataka kunyoosha miguu tunakwenda wote.
Na kila siku uwe na excuse.
Kuna dada ye story yake ilikua sijui njia panda au heka heka alikua anaviweka kwao.Na aliolewa sio mbali na kwao yani kama mtaa we pili.Ikawa akitoka kazini anapitia anakula zake dawa ndo anaenda home ila baadae mume akaja jua. Sikumbuki ilikuaje
 
Kuna dada Mkenya aliniambia first date sema akisepa it wasn't meant to be, huku kuficha dawa unakuwa mtumwa wa maisha yako mwenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…