Mmh mkuu mtu akutukane bila kosa kweli,??Leo kipindi natoka zangu. Church nimekutana na dada mmoja njiani alikuwa hajui wapi ameweka simu yake akaniomba simu ili ajipigiye simu
Nikampa kwa amani kabisa kwa bahati nzuri akapiga simu yake ikaita na akajua wapi ndo alikuwa ameweka simu maana alifikiri labda vijana amesha fanya yak basi
Tukaachana mimi nikaondoka zangu
Kufika hii jioni amenitumia sms ya kunitukana bila kosa
Dunia ina majabu yake
Screenshot hiyo msg tuione?Leo kipindi natoka zangu. Church nimekutana na dada mmoja njiani alikuwa hajui wapi ameweka simu yake akaniomba simu ili ajipigiye simu
Nikampa kwa amani kabisa kwa bahati nzuri akapiga simu yake ikaita na akajua wapi ndo alikuwa ameweka simu maana alifikiri labda vijana wamesha fanya yao basi
Tukaachana mimi nikaondoka zangu
Kufika hii jioni amenitumia sms ya kunitukana bila kosa
Dunia ina majabu yake
ππKuna wanawake single mother wengi mtaani wamevurugwa
Nusu vichaa nusu wazima
Aache mboyoyo mingii ππScreenshot hiyo msg tuione?
Kwenye hili kuna ukweli...Kuna wanawake single mother wengi mtaani wamevurugwa
Nusu vichaa nusu wazima