Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,231
Mungu yupo sina haja ya kudhibitisha wala kubishana. Kuhusu uwepo wa Mungu. Na sina haja ya kukuingilia na imani zako, amini unaloamini.Kabla ya yote thibitisha kwanza kama Mungu yupo ndio tuendelee na mada
Huna haja ya kuthibitisha ilihali unasema yupo? Punguza kilevi mkuuMungu yupo sina haja ya kudhibitisha wala kubishana. Kuhusu uwepo wa Mungu. Na sina haja ya kukuingilia na imani zako, amini unaloamini.
Hahahahahahahaha. Kazi kweli kweli. Nice time brazaaaa. You said so.. hahaha. I cant argue an endless debate. Believe what you believe.Huna haja ya kuthibitisha ilihali unasema yupo? Punguza kilevi mkuu
Mijadala inayohusu mungu hukosa mwisho ni kutokana na watu kuabudu uoga.Hahahahahahahaha. Kazi kweli kweli. Nice time brazaaaa. You said so.. hahaha. I cant argue an endless debate. Believe what you believe.
I know where are you heading braza. Waache na huo uoga wao. Wewe amini huo ujasiri wako. Amini unalo amini hakuna anae kuingilia. Na wewe waache. Concentrate on other things. You think you know everything you youngster but you don't know anything about this world. You better shut up. Wew unaishi tuu hapa duniani ila dunia ina siri nzitoo sana. Usikariri. Kuna mambo mengi sana hujui. So better be quit. Go and study more books to feed you are brain with good things. Don't console you are self God real exist do right things. Usijidanganyeee. Nice time. Nasoma vitu vya maana. This is matter of pure opinion. The debate will never end.Mijadala inayohusu mungu hukosa mwisho ni kutokana na watu kuabudu uoga.
Kiswahili unakijua kidogo na kiingereza pia unakijua kidogo.I know where are you heading braza. Waache na huo uoga wao. Wewe amini huo ujasiri wako. Amini unalo amini hakuna anae kuingilia. Na wewe waache. Concentrate on other things. You think you know everything you youngster but you don't know anything about this world. You better shut up. Wew unaishi tuu hapa duniani ila dunia ina siri nzitoo sana. Usikariri. Kuna mambo mengi sana hujui. So better be quit. Go and study more books to feed you are brain with good things. Don't console you are self God real exist do right things. Usijidanganyeee. Nice time. Nasoma vitu vya maana. This is matter of pure opinion. The debate will never end.
HahahahahahKabla ya yote thibitisha kwanza kama Mungu yupo ndio tuendelee na mada
Huna haja ya kuthibitisha ilihali unasema yupo? Punguza kilevi mkuu