Dunia imekwisha


ila umetumia lugha ya kiface book mno huku wengi umri umesonga
 
Hawa waandika "x" badala ya "s", tuendelee tu kuwacriticize kwenye thread zao, ipo siku wataogopa na kujirekebisha.
 
silly bizzy
Boring
badili maneno hapo watu wametoka nje ya mada na vijineno vyako.
 

Kiukweli umeandika kitoto na hizo X badala ya S hadi imeondoa mantiki ya mada yako,sipendagi kabisa halafu na zile za K' eti akimaanisha Okay au sawa.ni utoto ni upumbavu tu...
 
Mtoa mada.... nadhani nawewe ulipaxwa kuchapwa fimbo.... nyingi xana etiiiiii....
 
Unakimbilia wapi mkuu. Hebu panga vizuri mada yako ieleweke.
 
Ndiyo hivyo dunia imekwisha,Mungu awalinde watoto wetu,shetani yupo kazini haswaa maana anajua yuko na muda mchache.
 

Na wewe unaandika kijinga.

Kiswahili ni lugha yako ya Taifa kienzi.
 
Siku za nyuma mtoto wa kike akizaliwa ilikuwa inaonekana hasara,nowdays watoto wakiume jamani dah hadi naogopa!!
 
alipigwa,ulichukua hatua gani? hujui kuwa wewe ni sehemu ya dunia kuisha na unatimiza unabii? angalia sana ndugu yangu,hata lugha yako inaonesha wewe ni form 6 uliyemaliza mtihani juzi pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…