kedekede
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 5,337
- 7,757
Wakuu Poleni,na asanteni kwa subra mlioonyesha wakati mnasubiria huu mkasa wa Dunia Hii.
Nilikuwa busy sana na hata leo niko busy lakini kwa imani ya dini yangu kuna kundi nataka kujiepusha nalo,WANAFIQ.Alama zao ni tatu.
1.Akizungumza huzungumza uwongo
2.Akiweka ahadi hatimizi
3.Akiaminiwa Hufanya Hiana
Kwa imani hiyo hiyo Mungu atatupeleka motoni kwa jambo moja ambalo ni AHADI zetu.Natumai mmejifunza kitu hapo.
Twende Moja kwa moja sasa.Kuna dada mmoja alikuwa anafanya kazi pale Zanzibar Serena kama mtu wa housekeeping,yaan usafi wa vyumbani na mazingira mengineyo.Huyu dada aliolewa na na mtoto wa waziri mmoja alikuwa maarufu sana kule zanzibar,wizara sitaitaja.Mtoto wa huyu waziri akawa anasoma huko nje lakini ameacha mke huku unguja.Huyu Binti alikuwa mzuri na mgumu sana.Watu wengi waliimbisha sana ikashindikana.Ila kuna jamaa mmoja akawa king'ang'anizi sana maana alikuwa anampenda kweli nadhani.Jamaa akatolewa nje akawa anamsumbua saaana,Yule Dada akawa anasema anamsubiri mumewe hadi arudi na akasimamia uamuzi wake huo,au labda aligegedwa kwa siri saaana huwezi kujua.Miaka ikaenda l think ni miwili na si unajua wenye nazo na maisha ya nje.Jamaa akakata tamaa yule aliyekuwa naomba papuchi akaachana naye kumfuatilia.Baada ya muda kuisha jamaa akarudi home Demu akafurahi kurudi kwa Mr wake!Wakaendelea na maisha yao na mgegedo.Siku moja akaja mgeni pale nyumbani kwao(Muafrika Mtanzania huyo mgen).Tambua wana nyumba yao hawakai kwa huyo waziri.Basi akatambulishwa kuwa walisoma wote kule Nje walikuwa wanasaidiana mambo mengi,wakampeleka hadi kwa waziri akatambulishwa kama rafiki na hata kwa waziri alikuwa anafahamika kwa simu maana walikuwa wanampigia mtoto wao wanaongea hadi na huyo rafiki.Basi ikabidi mgeni akaishi kwa Rafiki yake,wana nyumba kubwa sio single kama yangu.Demu asubuhi anaaga anaenda kazini anawaacha home wamelala kila mtu chumbani kwake.Siku zikakatika,siku moja yule mwanamke akakosa amani kule kazini kwake ikabidi asingizie amesahau kitu akaruhusiwa na kiongpozi wake arudi nyumbani mida ya saa nne nne hivi.Kufika nyumbani pako kimya kabisa,ukumbuke huyu binti akitoka kazini sasa mumewe anamfuata na usafiri kila siku tangu jamaa arudi.Demu kurudi geti liko wazi alipo toka asubuhi amerudishia tu.Akasukuma akazama ndani,Kufika mlango wa nyuma ya nyumba ile upo wazi akaingia taratibu kama kwenda kumsurprise mumewe nadhani papuchi ilikuwa inawasha anataka kusuguliwa saa 4 ile,kufika Chumbani lahaula mumewe kabinuliwa dushelele limejazwa kwenye 0713.....!Wakashituka wote watatu.Ila demu sijui ni hasira,sijui ni aibu au nini akatoka mbio hadi barabarani akapanda gari akarudi kazini.Kufika kazini nadhani akili ikarudi vizuri,akampigia yule jamaa aliyekuwa anamsumbua miaka miwili,akamuambia amfuata kazini saa tisa kamili jioni.Mume huwa anamfuata demu saa tisa na nusu kila siku maana akitoka mpaka ajiandae inakuwa na nusu.Jamaa akakubali.Akamfuata akaenda naye Ghetto akashangaa kwa nini kuna mabadiliko ya ghafla?jamaa akaogopa akajua anataka kupewa ngoma,wakapima japo siku hyo hyo jamaa akagonga papuchi kilaini.Demu akahojiwa kuna nini hakumueleza akamuambia muda ukifika attamuambia anahitaji kutafakari kwanza.Demu akalala.asubuhi akapelekwa kazini na mshikaji.Jioni akafuatwa na mshikaji,kumbe mume naye kaja na kaja na babake,ile wanaondoka na vespa ikaanza kufukuzwa na ligari likubwa,wakafukuzana jamaa anaishi kilimani lakini ikabidi alipofika kilimani kule ndani achepuke na vespa yake maana gari haingii vichochoroni.Mtoto wa waziri kamuambia babaake kuna mtu amemchukua mke wake,waziri na uwezo wake akachukia.Demu akaulizwa na jamaa vipi mbona kama muvi?akamuuliza unanipenda?jamaa akasema ndio akamuambia subiri ntakueleza.Demu akalala jamaa akala mzigo hadi asubuhi.Siku ya pili jioni jamaa akaja mchukua demu wake na Honda 250,waziri na mwanawe wakaja na gari,kaja na Honda maana vespa haina mbio,alijiandaa kufukuzana.Kweli kama jana yake Muvi ikaanza ya kufukuzana jamaa hawakumpata maana alijiandaa na Honda na vichochoro vyake.Demu hakutaka kueleza siku hyo tena,Siku ya tatu Jamaa akasema hamfuati hadi amueleze kuna nini,Demu akamuambia asimfuate akitoka ataenda kwake kwanza then atampigia amfuate nyumbani.alipotoka hakuwa na haraka akajichelewesha ,kutoka tu baba mkwe yupo getini wakasalimiana akamuambia 'mama nimekufuata twende Nyumbani'.Demu akakubali,kwenye gari mumewe yupo,Wakaenda hadi nyumbani kwa waziri,mke wa yule waziri alikuwa anafanya kazi mnazi mmoja hospitali.Kufika kikao cha familia waziri na mama mkwe wakashangaa kubadilika kwa yule binti kiasi kile,binti akawa amewapigia wazazi wake wakaja kwa wakwe zake.Jamaa akahojiwa malalmiko akasema ameondoka nyumbani ana mwanaume mwingine,inaonekana ni tabia yake Tangu yeye hayupo.Demu alipoambiwa aongee akasema hataongea hadi rafiki yake na mumewe aje.Waziri Vocha ipo akamtwangia kijana aje akaja.Demu akaelezea kama alivyowakuta wakiwa wote wawili wale marafiki.Kumbe walianzia huko masomonio,mama mkwe akasema ni uongo anamsingizia mwanawe,akahojiwa kijana mgeni akasema ni kweli alikuwa anampakua miaka yote.Watu kimya,Waziri akatumia Busara zake za uwaziri,akamuuliza binti maamuzi yake ,Binti akadai talaka,jamaa akaambiwa aandike,Akaandika,waziri akaomba samahani kwa mkwe wake. Demu akaondoka akampigia mshikaji simu akaja akamchukua akaenda kumuelezea muvy yote ile ya FAST AND FURIOUS wakaenda kuanza maisha yao.Nimeyajuaje haya yoote?Jibu ni kwamba huyu jamaa alikuwa Rafiki yangu wa karibu saana na tunaelezana mengi na hata alipofukuzwa alinishirikisha tukajaribu kutafakari.Jambo la mwisho walikuwa hawajazaa na lile bwabwa,jamaa akaoa akaanza kufyatua.Najua nimewachosha na ndio maana pia nilikuwa naona uvivu kuandika hata mimi.Kwa wale walioomba kuwatag naanza kuwatag.Nikikusahau kama uliomba samahani.Kama nimekosea kuandika mniwie radhi pia.