Dunia haina usawa

Mama sina ukorofi ninaoufanya acha tu napewa ban sababu za kijinga sana hata nikikohoa napewa ban woiiii huyo mod huyu aendelee tu
Labda alikutongoza pm ukamtolea nje now anapunguza machungu
 
Mama sina ukorofi ninaoufanya acha tu napewa ban sababu za kijinga sana hata nikikohoa napewa ban woiiii huyo mod huyu aendelee tu
Mara ya mwisho kupigwa ban ilikuwa 2012 kipindi hicho nilikuwa mgeni bado JF!
 
Ubarikiwe sana. Kwa kweli nimeinjoi sana ila uteja ndio ulinitesa zaidi
 
Hii story iko safi sana... Natamani tungekuwa na Directors wazuri wa movies... Imagine hii ingekuwa movie yenye effects za technology ya juu kama ma movie ya kina Denzel au Jack Bauer
 
Mama sina ukorofi ninaoufanya acha tu napewa ban sababu za kijinga sana hata nikikohoa napewa ban woiiii huyo mod huyu aendelee tu
sababu za kijinga kama zipi labda..?
unachangamsha...wakikubana wana.....
 
Asante sana jackal,final tumefika mwisho
 
Atufundishie nan mkuu namba yA godwin hii hapa 0625416321
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…