Nilishtuka usingizini nikaingia humoo...Kwahiyo ulimchunga ikawaje na wewe jana kwa mapopo
Kwa hiyo Shunie yule jamaa ndio umeangukia kwake kabsaa?Kwahiyo ulimchunga ikawaje na wewe jana kwa mapopo
Mbona zina ekwaHuyu mwana dada hata weka riwaya huyu mnamwongelesha sana jaman
HahahaHahahah
Sasa huyo hata akiniona ntakuwa wa kazi gani tena!
Angekuwa single ningemruhusu anione.
Alisema atamsaidia rose na hakumsaidia,kwanini asife sasa?
Wari iz zis!? Unamuombea kifo Mr President!!
Samahani mkuu
Alisema atamsaidia rose na hakumsaidia,kwanini asife sasa?
Halafu sijui kwanini nahisi yeye ndo muhusika mkuu wa haya yote yanayomtokea rose
HahahaHahaha umchunge shemeji yako jamani kwahiyo jana ulikuwa deep mawazuuu na upweke eenh