Dunia haina huruma

ni janga kubwa watu wanajifanya kukemea hapa wkt ndo wafanyaji wakubwa
 
Last edited by a moderator:

mwambie nae aje alalamike! umetunga story
 
haya ndio matunda ya jukwaa hili tamu la MMU

achana nae huyo jilainiishie mwingine kiulaini lolz..

hakuna kesi hapo
 
Hahaaaaa e bwana akili yangu imeenda mbali... haha!
Na huyu wataka kumtarizi marinda? hahahaha! Kweli dunia hadaa! lmao!
Eli79 aishie huko huko..........

sina mpango wa kufumuliwa marinda katika maisha yangu
 
Last edited by a moderator:
Dunia inahuruma tu,sio kama usemavyo.Imekuletea mwana.!!.anza kuandaa pesa ya pampers mkuu.
 
Hahaaaaa e bwana akili yangu imeenda mbali... haha!
Na huyu wataka kumtarizi marinda? hahahaha! Kweli dunia hadaa! lmao!

hapana sitathubutu sitataka hata kukumbuka nitamheshimu nakumruhusu atawale maisha yangu Heaven on earth wewe n wa thamani nakuahid kubadilika
 
Last edited by a moderator:
mwungwana ishia huko huko Sihitaji kuliwa kisamvu cha kopo!!!!!!!

nitakuheshimu na kukuthamuni wewe n wa thaman c wa visamvu vya kopo hadhi yako n sebule tena ulotiwa nakshi nitakupa chochote utawale moyo wangu i love you
 
Last edited by a moderator:
nitakuheshimu na kukuthamuni wewe n wa thaman c wa visamvu vya kopo hadhi yako n sebule tena ulotiwa nakshi nitakupa chochote utawale moyo wangu i love you

Haya ila aliozoea vya kukaa vya kusimama haviwezi.........Ipo siku waweza kudai tu

hiko kisamvu cha KOPO
 
Haya ila aliozoea vya kukaa vya kusimama haviwezi.........Ipo siku waweza kudai tu

hiko kisamvu cha KOPO

hapana nimekubali unitawale jaman ctakuudhi nakuhakikishia naanza maisha mapya na kristo kisamvu cha kopo mie basi ee watu8 naomba uwe shahidi wa haya nimtamkiayo Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
uani ni mdomo wa samvu la kopo

Pamoja na JF kuelimisha watu kuacha kupita uwani lakini bado mnaendelea. Inatisha na kutia kinyaa sanaa.
Sasa mtu ambae hayupo jf na hana fursa ya kupata msaada wa mawazo na comments zinazo tolewa na watu unajitofautisha nae vip.?

anyway since umekuwa mnatumia njia hiyo jiandaeni kupata mtoto ambae anaweza akawa shoga.

Ushauri mkubali mwenzio mlee mtoto.
 
Last edited by a moderator:

mbona hueleweki wewe unakimbilia wapi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…