Hascohamidu
Member
- Feb 12, 2015
- 12
- 4
Ndugu zangu.
Unahitaji kulitafakari jambo lolote kwa kina kabla ya kuliendea. kwani kwakufanya hivi kunauwezekano mkubwa usije kujutia baadae. Ingawaje ziko sababu zinazo wezakujitokeza ukiwa on the way ukiwa tayari ukilifanyia kazi jambo hilo ambalo uliamua ukalitafakari na ukaendelea kulitumikia au kutimiza jambo hilo.
Mapenzi ni jambo ambalo hakuna asie penda wala aliyesita kuingia katika tasnia hiyo hasa pale umri ukifikia hatua ya kuliendea jambo hilo. Ila kwa wale wanaokusudia kuoa, yako mambo mengi sana kila mmoja katika hao wawili anapaswa kutafakari sana kabla haja ingia katika taasisi ya ndoa.
Hili hasa linalenga kuhakikisha kila mmoja ndoto zake zitatimia kwa kupitia kuwa na huyo mwenzi wake nini anafikiri uhusiano huo na huyo utasaidia kufikia.Vipi mwenendo wa kitabia nini matakwa na mahitaji na matarajio ya kila mmoja kwa mwenzi wake.
Kama wazazi wapo wao baraka zao ni muhimu laki sio kuwa waratibu wakila siku wa mahusiano yenu kwani hali hii itapoteza ladha ya msimamo katika mapenzi yenu.
Itaendeleanext week.