dunia bila wanawake ingekuwaje

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,322
Reaction score
56,057
hivi wanaume tungekuwa tunaweza kujizaa kama wale kuku wa nyama wasio na jogoo bila kiumbe mwanamke
waliosoma bording za boys tupu wanaelewa
sox inasimama ,jeans ukikunja inavunjika kisa uchafu
simu tungetumia kitochi
najua kuna watu wamenunua magari mazuri sababu ya kuwavutia wanawake
wanavaa vizuri sababu ya wanawake
wanatafuta pesa sababu ya wanawake
maisha bila wanawake
 
Maisha yenu yangekuwa magumu kama kumnong'oneza kiziwi....
tupendeni basi na kutujali kwa kuwa mmeona umuhimu wetu:A S 11:
 
Kikwete asingeingia ikulu...
:winking:
 
Angekua na michunusi kibao kama nundu la Ng'ombe kwa ugumu na concentrations za magoli
 
Nice topic. Nafikiri nitajifunza mengi hapa.
 
Kungekuwa na njia nyingne isiyotegemea wanawake.
 
Mungu angefanya njia na kuwafanyia wepesi bt dunia ingekuwa inanuka uvundo
 
Reactions: kui
Hhahaah ingependeza maana ningetembea na boxa tuu nakatiza kkoo napita posta bila ttzo duhhh
 
dunia ingekua kawaida tu,kwasabab tungekua hatujawahi kuwaona wala kuishi na wanawake,maisha yangeendelea kama kawaida
 
Hiyo siri ya mungu .wewe binadamu dhaifu huna mamlaka ya kufikilia hayo huliyotuhambia
 
Mh pangechosha sana aisee kuwa jinsia moja tu na yeye Mungu akaamua kutuumba na sie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…