Ulitakiwa kuonyesha jinsi hoja yake haina mashiko.
Hatuko kwenye mashindano ya rep power..
Kwa hiyo ukiwa ana rep power kubwa ndo tukukubalie vitu vya kizushi au visivyokuwa na matiki?
Hoja inatenguliwa kwa hoja sio rep power....
Nani kasema tuko kwenye mashindano? Nani kasema nikubaliwe vitu vya kizushi, nimezusha kitu gani? Hoja iliyo mbele yetu ni kushindwa kwa Duni Haji kusuluhisha UKAWA jimbo la Mtama, mpaka hapo upo?
Jozi 1, je ulisoma alichosema
Mr Chin? Ngoja nikusaidie kwa nini huyu jamaa angekuwa kwenye maumivu makali if only idiocy was painful...nanukuu;
Mr Chin said:
Chadema are in dilemma as awareness of Fisadi is becoming more conspicuous and irreputable.
Matumizi ya maneno ya awareness of Fisadi becoming more
conspicuous and
irreputable yanaingiaje hapa? Je anajua uzito wa kauli yake hiyo? Tuanze kwa kutambua kuwa ufisadi ni kosa la jinai.
Conspicuous ni neno la Kiingereza na lina maana ya inayoonekana wazi na dhahiri, kwa hiyo kama kosa la jinai liko dhahiri na linaonekana wazi, kitu gani kinatakiwa kifuate kama nchi inaendeshwa katika misingi ya sheria? Au alitaka kusema nchi hii haina serikali?
Irreputable...this is also where idiocy steps in. Yawezekana
Mr Chin anajua neno la kiingereza
reputable linalotokana na neno
repute ikiwa na maana ya -enye sifa au heshima hivyo akiongezea
ir mwanzoni anapata maana tofauti, lakini neno hilo halitumiki. Heri angetumia neno
disreputable...ni ushauri tu!